Comments for Tarishi Hauwawi

Comment on MAELEZO YA MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI, JUMAPILI, 03 MEI, 2009 by Law firm specialising in mesothelioma cancer in Enosburg Falls, Enosburg Falls mesothelioma lawyers
[...] MAELEZO YA MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI, JUMAPILI, 03 MEI, 2009  [...]

Comment on MAELEZO YA MHESHIMIWA ROSTAM AZIZ KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI, JUMAPILI, 03 MEI, 2009 by Matata
The audio version of this speech is available at http://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/28254-rostams-press-conference-live-coverage.html

I thank you guys for bringing these stuffs.

Tanzania bila ufisadi INAWEZEKANA!

Comment on WALIOPITIWA NA KAMANDA AMATUS LIUMBA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UTUMISHI PALE BOT DAR ES SALAAAM MAARUFU KAMA TWIN TOWERS by ruki
ARV (Dawa za kurefusha maisha)zisitishwe TANZANIA kabisa. Kwa mtindo huu hatutapona maana najihisi hata mimi ninao

Comment on Liyumba, Liyumba, Liyumbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!! by Mike
Just passing by.Btw, you website have great content!

Making Money $150 An Hour

Comment on WALIOPITIWA NA KAMANDA AMATUS LIUMBA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA UTUMISHI PALE BOT DAR ES SALAAAM MAARUFU KAMA TWIN TOWERS by pio
hayo nuliyoyasoma kama ni ya kweli basi haponi mtu

Comment on Adam Lusekelo: Good governance in Tanzania? by John Mwaipopo
Adam is just Adam. He is always at it in that satirical fashion but which goes deeper than the word ‘deep’ itself. He is so simple than simplicicty. Bravo mzee you are an isnpiration of many of us.

Comment on Tahariri Mtanzania Daima leo by Albert Sindato
Ndugu  Mhariri nichaposhie  maoni yangu  hayaNdugu zangu Watanzania .Tunaishi kwenye nyakati za hatari za kutisha. Kila siku kuna sauti nyingi sana zinakuja masikioni mwetu.Watu wanotuzunguka wanatuleta sauti nyingi sana. Vyombo tunavovitumia majumbani vinatoa sauti  nasauti hizo tunazifuata. Television ,redio, na vinginevyo vingi.  Iko sauti inayosema skutafuta fedha nyingi na  Wengi  wetu tunadhani  fedha itatufanya kila kitu kiwe shwari  hivyo, tunajitahidi sana tuzipate maana tunaamini tizipata  tutakuwa na amani. Ukitaka kujua angalia mtu   mwenye fedha anavoishi .   Ataukuwa na walinzi wa mchana na usiku  na ataona hawatoshi  .Anaanza kufuga mbwa mmoja hata kama dhehebu lake haliruhusu  kufuga mbwa. Baadaye mbwa mmoja hatoshi ataongeza wengine na wengine.   Baadaye mbwa na walinzi hawatoshi atatafuta bastola na baadaye  atataka  na bunduki  hata hivyo hataridhika baadaye   mitambo ya umeme na bado hana amani.  Hii ndiyo hali halisis. Unanunua gari jipya unajion a wa  kisasa unaweka kishoka muda si mrefu anakuja mwingine na gari model mpay zaidi  unarudisha mkono ndani. Na  Yule aliyeleta mpya kabisa muda si mrefu anakuja mwenzie ambaye anayo wanaita latest . Kishoka kinafichwa ndani.

Waganga wanatoa offer  kwa wateja wake kuwaahidi  kuwa  matajiri endapo watapeleka viungo vikiwa na damu fresh ambayo haijakauka. Hii ni sadaka ya shetani . Wanadhaniwatapata amani endapo watapata veo au madaraka au mali nyingi.

Tukitazama  ndugu zangu Watanzania kuna watu katika jamii yetu inatembea siku nzima kwa miguu kutafuta maji ya bwawa  yaliyotokana na mvua iliyonyesha. Watoto wanatembea  masaa mawili hadi matatu kufika shuleni na kurudi masaa mawili .  Hivyo hivyo kuna Watanzania ambao mpaka sasa   toroli  au  mkokoteni wa Miti au mbao  ni tekinoljia mpya sana kwao labda hana ndoto  lini itafikia   muda  wa uwezo wa kuipata  toroli au mkokoteni

Ukitazama shule za sekondari na vyuo  hazina huduma na hata huo mfumo wa mkopo  haujakaa sawasawa. Lakini pia ukitazama upande mwingine kuna jitahada za mtu mmoja mmoja na hata serikali za kupata mapato. Ukitazama fedha zilozotumika huko kwa wanaoitwa Mafisadi, Marichond tunayajua na tusiyoyajua ni mengi kweli kweli.  Lakini jambo la kuninshangaza ni jinsi tunavyothamini mawazo na rasilimali zetu.  Ni  Ziko sauti nyingi zinaingia masikioni mwetu  tunavyoweza kupambanua  na kufanya uchaguzi unaofaa. Tulipotaka kuuza mashirika na mggodi yetu  tulifanya haraka sana na hizo fedha hatujui namna ya kuzitumia .Tunachagua kusikia na kutii kila sauti inayoingi masikioni mwetu.

Kila sauti inayoingia amsikioni mwetu laziam tutii. sikia na kutiii , Ikitoka sauti kutoka huku tunatii ikitoka sauti kutoka kule tunatii. Ikija sauti ya ushirikina na uchawi inayotuambia kuwa tutakuwwa matajiri au tutapanda veo kama tukitii tunaifuata. Sauti ya kutumia fedha Tukiangalia fedha  za serikali  katika mambo amabayo siyo muhimu   . Sasa iko sauti inayosikika ya kupanda chuki katika jamii ya Watanzania  kuona dini moja ina haki kuliko zingine . Sauti hiyo inakuja  pole pole kama vunza ikishaigia chuki itazaa mauti. Na hiyo sauti tumeikariribisha.Chuki  ni rahisi kuingia lakini kuitoa ni haiwezekani. Nakumbuka wakati rusha ilpokuwa bado chini sana kama hakuna tulianzisha kitengo cha kuzuia.   Mwasisi wa nchi  hii Marehemu aliyekuwa rais wa kwanza  Mwalimu Julias Kenyere alisema ikiingia rushwa ilkuwa vigumu kuindoa. Hapa tunakabiliwa na mambo megni sana hatujamaliza  madai ya wanafunzi wa Shule za msingi, sekondari, vyuo. Mbaya zaidi sasa maoeneo ya shule yanauziwa watu binafsi  kutaja mfano Shule ya sekondari ya Arusha  na ni  ya Serikali   kiwanja kimemegwa na kuuziwa mtu binafsi.  Ukitazama upande mwingine bado ipo sauti ya  wananchi  na sauti za Richmond, Wafisadi ,  Kuna Richmond na  wafisadi wengi sana sauti zake zinatuchnganya . Tena ziko sauti inayolia juu ya damu inayomwagwa isiyo na hatia ya Albino , watoto na watu wazima  wanauwawa kwa kutolewa sadaka kwa imani za  uchawi. Sasa tuna sauti inaingia ya  OIC,na Mahakama ya kadhi.

Jambo linalonishangaza ni jisi tunavyopokea sauti hizi  na ushawish wa mtu mmoja navoweza kuwaingia watu wakukubaliana na sauti yoyote na ikafanya kazi katika jamii inayoishi katika mwaka wa 2008,

Mtazamo wangu ni kwamba sis tulio wengi miili yetu inaishi katika  mwaka 2008 likini mawazo yetu na akili zetu hazijafika mwaka 2008 bado zipo katika miaka ya 1980 wachache sana wamefika 1990 na wachache zaidi wamefikia 2000. Hivyo tunajifariki tu  kwa sababu ya mavazi tunayovaa. Yanayotokana na usherehere sherehere.

Tuwe waangalifu na sauti zinazoingia masikioni mwetu

Albert Sindato

Comment on Tahariri Mtanzania Daima leo by Albert Sindato
Ndugu zangu Watanzania .Tunaishi kwenye nyakati za hatari za kutisha. Kila siku kuna sauti nyingi sana zinakuja masikioni mwetu.Watu wanotuzunguka wanatuleta sauti nyingi sana. Vyombo tunavovitumia majumbani vinatoa sauti  nasauti hizo tunazifuata. Television ,redio, na vinginevyo vingi.  Iko sauti inayosema skutafuta fedha nyingi na  Wengi  wetu tunadhani  fedha itatufanya kila kitu kiwe shwari  hivyo, tunajitahidi sana tuzipate maana tunaamini tizipata  tutakuwa na amani. Ukitaka kujua angalia mtu   mwenye fedha anavoishi .   Ataukuwa na walinzi wa mchana na usiku  na ataona hawatoshi  .Anaanza kufuga mbwa mmoja hata kama dhehebu lake haliruhusu  kufuga mbwa. Baadaye mbwa mmoja hatoshi ataongeza wengine na wengine.   Baadaye mbwa na walinzi hawatoshi atatafuta bastola na baadaye  atataka  na bunduki  hata hivyo hataridhika baadaye   mitambo ya umeme na bado hana amani.  Hii ndiyo hali halisis. Unanunua gari jipya unajion a wa  kisasa unaweka kishoka muda si mrefu anakuja mwingine na gari model mpay zaidi  unarudisha mkono ndani. Na  Yule aliyeleta mpya kabisa muda si mrefu anakuja mwenzie ambaye anayo wanaita latest . Kishoka kinafichwa ndani.

Waganga wanatoa offer  kwa wateja wake kuwaahidi  kuwa  matajiri endapo watapeleka viungo vikiwa na damu fresh ambayo haijakauka. Hii ni sadaka ya shetani . Wanadhaniwatapata amani endapo watapata veo au madaraka au mali nyingi.

Tukitazama  ndugu zangu Watanzania kuna watu katika jamii yetu inatembea siku nzima kwa miguu kutafuta maji ya bwawa  yaliyotokana na mvua iliyonyesha. Watoto wanatembea  masaa mawili hadi matatu kufika shuleni na kurudi masaa mawili .  Hivyo hivyo kuna Watanzania ambao mpaka sasa   toroli  au  mkokoteni wa Miti au mbao  ni tekinoljia mpya sana kwao labda hana ndoto  lini itafikia   muda  wa uwezo wa kuipata  toroli au mkokoteni

Ukitazama shule za sekondari na vyuo  hazina huduma na hata huo mfumo wa mkopo  haujakaa sawasawa. Lakini pia ukitazama upande mwingine kuna jitahada za mtu mmoja mmoja na hata serikali za kupata mapato. Ukitazama fedha zilozotumika huko kwa wanaoitwa Mafisadi, Marichond tunayajua na tusiyoyajua ni mengi kweli kweli.  Lakini jambo la kuninshangaza ni jinsi tunavyothamini mawazo na rasilimali zetu.  Ni  Ziko sauti nyingi zinaingia masikioni mwetu  tunavyoweza kupambanua  na kufanya uchaguzi unaofaa. Tulipotaka kuuza mashirika na mggodi yetu  tulifanya haraka sana na hizo fedha hatujui namna ya kuzitumia .Tunachagua kusikia na kutii kila sauti inayoingi masikioni mwetu.

Kila sauti inayoingia amsikioni mwetu laziam tutii. sikia na kutiii , Ikitoka sauti kutoka huku tunatii ikitoka sauti kutoka kule tunatii. Ikija sauti ya ushirikina na uchawi inayotuambia kuwa tutakuwwa matajiri au tutapanda veo kama tukitii tunaifuata. Sauti ya kutumia fedha Tukiangalia fedha  za serikali  katika mambo amabayo siyo muhimu   . Sasa iko sauti inayosikika ya kupanda chuki katika jamii ya Watanzania  kuona dini moja ina haki kuliko zingine . Sauti hiyo inakuja  pole pole kama vunza ikishaigia chuki itazaa mauti. Na hiyo sauti tumeikariribisha.Chuki  ni rahisi kuingia lakini kuitoa ni haiwezekani. Nakumbuka wakati rusha ilpokuwa bado chini sana kama hakuna tulianzisha kitengo cha kuzuia.   Mwasisi wa nchi  hii Marehemu aliyekuwa rais wa kwanza  Mwalimu Julias Kenyere alisema ikiingia rushwa ilkuwa vigumu kuindoa. Hapa tunakabiliwa na mambo megni sana hatujamaliza  madai ya wanafunzi wa Shule za msingi, sekondari, vyuo. Mbaya zaidi sasa maoeneo ya shule yanauziwa watu binafsi  kutaja mfano Shule ya sekondari ya Arusha  na ni  ya Serikali   kiwanja kimemegwa na kuuziwa mtu binafsi.  Ukitazama upande mwingine bado ipo sauti ya  wananchi  na sauti za Richmond, Wafisadi ,  Kuna Richmond na  wafisadi wengi sana sauti zake zinatuchnganya . Tena ziko sauti inayolia juu ya damu inayomwagwa isiyo na hatia ya Albino , watoto na watu wazima  wanauwawa kwa kutolewa sadaka kwa imani za  uchawi. Sasa tuna sauti inaingia ya  OIC,na Mahakama ya kadhi.

Jambo linalonishangaza ni jisi tunavyopokea sauti hizi  na ushawish wa mtu mmoja navoweza kuwaingia watu wakukubaliana na sauti yoyote na ikafanya kazi katika jamii inayoishi katika mwaka wa 2008,

Mtazamo wangu ni kwamba sis tulio wengi miili yetu inaishi katika  mwaka 2008 likini mawazo yetu na akili zetu hazijafika mwaka 2008 bado zipo katika miaka ya 1980 wachache sana wamefika 1990 na wachache zaidi wamefikia 2000. Hivyo tunajifariki tu  kwa sababu ya mavazi tunayovaa. Yanayotokana na usherehere sherehere.

Tuwe waangalifu na sauti zinazoingia masikioni mwetu

Comment on THE TRUE COLOURS OF MWANAKIJIJI by mtarajiwa
kumbe….! asante kwa taarifa, una picha yake?