Tarishi Hauwawi

May 29, 2008

Mama Anna Mkapa vipi?????

Filed under: habari ndio hiyo — tarishi @ 8:25 am

Mama Ana Mkapa Anunua Nyuma 12 Za Serikali Mbeya

Kuna sakata linafukuta kuhusu uuzaji kiholela wa nyumba 12 za serikali huko mbeya, mambo

yako hivi:

1.0, serikali kupitia wizara ya miundo mbinu inamiliki nyumba 12, eneo la RRM nje kidogo ya

jiji la mbeya, nyumba hizi zilizojengwa kwa archtecture ya kiyugoslavia, zilijengwa na

kampuni ya kiyugoslavia inayoitwa partzank put, wakati wanajenga barabara ya igurusi-songwe

miaka ya 1992. walipomaliza ujenzi walizikabidhi nyumba hizi serikalini, yaani wizara ya

ujenzi

2.0 nyumba hizi zinakaliwa na watumishi wa muda mrefu wa serikali mjini mbeya, na ziko 12

kwenye compound moja

3.0, wakati wa uuzaji wa nyumba za serikali, watumishi hawa waliomba na kukubaliwa na

wakauziwa kwa bei ya soko, wengi wa watumishi hawa ni wa kada ya kati wakiwepo wahandisi

4.0 wengi wamemaliza kulipa, na walipoanza process za kuomba hati miliki wakakutana na

kigongo hiki kuwa hati haitaweza kutolewa kwa kuwa, nyumba hizo aliuziwa mama ana mkapa na

ndo mmliki halali, TAYARI ANA MKAPA ANA HATI YA ENEO LOTE LENYE NYUMBA 12

5. mtu mmoja aitwae zongo, ambaye alikuwa afisa ardhi wa the then manispaa ya mbeya, na

ambaye inasemekana ni mtu wa karibu na mama ana mkapa ndo aliyefanikisha huu ufisadi

kwa maana hiyo, manispaa ya mbeya imeuza nyumba isizomiliki kwa mtu asiyestahili, na kwa

gharama za wafanyakazi wa serikali wliostahili. mmiliki halaili ni katibu mkuu, wizara ya

ujenzi
waliozulumika katika zoezi hili wameniomba nilete hili swala hapa jf kuomba msaada wenu

wakuu

Originally Posted by mwikimbi 
Kuna sakata linafukuta kuhusu uuzaji kiholela wa nyumba 12 za serikali huko mbeya, mambo

yako hivi:

1.0, serikali kupitia wizara ya miundo mbinu inamiliki nyumba 12, eneo la RRM nje kidogo ya

jiji la mbeya, nyumba hizi zilizojengwa kwa archtecture ya kiyugoslavia, zilijengwa na

kampuni ya kiyugoslavia inayoitwa partzank put, wakati wanajenga barabara ya igurusi-songwe

miaka ya 1992. walipomaliza ujenzi walizikabidhi nyumba hizi serikalini, yaani wizara ya

ujenzi

2.0 nyumba hizi zinakaliwa na watumishi wa muda mrefu wa serikali mjini mbeya, na ziko 12

kwenye compound moja

3.0, wakati wa uuzaji wa nyumba za serikali, watumishi hawa waliomba na kukubaliwa na

wakauziwa kwa bei ya soko, wengi wa watumishi hawa ni wa kada ya kati wakiwepo wahandisi

4.0 wengi wamemaliza kulipa, na walipoanza process za kuomba hati miliki wakakutana na

kigongo hiki kuwa hati haitaweza kutolewa kwa kuwa, nyumba hizo aliuziwa mama ana mkapa na

ndo mmliki halali, TAYARI ANA MKAPA ANA HATI YA ENEO LOTE LENYE NYUMBA 12

5. mtu mmoja aitwae zongo, ambaye alikuwa afisa ardhi wa the then manispaa ya mbeya, na

ambaye inasemekana ni mtu wa karibu na mama ana mkapa ndo aliyefanikisha huu ufisadi

kwa maana hiyo, manispaa ya mbeya imeuza nyumba isizomiliki kwa mtu asiyestahili, na kwa

gharama za wafanyakazi wa serikali wliostahili. mmiliki halaili ni katibu mkuu, wizara ya

ujenzi
waliozulumika katika zoezi hili wameniomba nilete hili swala hapa jf kuomba msaada wenu

wakuu

Advertisements

May 26, 2008

Wachagga defined

Filed under: cheka unenepe — tarishi @ 1:23 pm

There is no Chagga tribe but just different groups of people living on the southern slopes of Mount of Kilimanjaro with the following characteristics:

WAMACHAME (Business entrepreneurs) Huwezi kujua nani mwanamke na ni nani mwanaume. Kila kitu ni pesa. Yaani hata kama ni mkeo wa ndoa inakuwa hivi “kama hutoi pesa ya mbege ndoa yangu sikupi babangu” Basi kule Machame chakula cha ndoa au nimesemaje? Kufanya mapenzi ni kwa kipimo. Ukiwa katikati mama anakwambia STOOOOOOP! Hapo shilingi Elfu 20 zako ndio zimekwisha; Ukitaka ongezandio uendelee. Yahye, unasikia nasema MKE WA NDOA! Wamachame hao! Uchumba tu, lazima upeleke Kapati la mbeho!

WAKIBOSHO (Specialized bandits) Mama akiwa anapiga soga na mwenziwe utawasikia hivi”Yaani Dadangu, we acha tu yule Alex wangu siku hisi amepefuka kweli; Ana akili we acha tu! Haibi tena mfukoni siku hisi, ameunda kundi lake la ujambasi, Krisimasi hii lasima nitaletewa fitenge file fya Kongo. Binti naye, AKIOLEWA NA KYASAKA, baba na mama wanamwambia ” Hivi wewe huyu mwanaume kwani ni ndugu yako ? Leta hizo pesa sake tujengee huku kwetu Manka!!

WAURU (The Elites)Very boring people, wakikaa ni kuongea kuhusu shule tuuuuuuuuu, masomo, digrii. Yaani yukanoti bilivu! Babu wa miaka 70 bado madaftari yake ya primary ameweka sandukuni!! Atawaonyesha wajukuu zake wote: “Ona hand writing yangu ilivyokuwa nzuri wakati nafundishwa na Father Wilson Payatt. Wanakumbuka majina ya waalimu wao hasa wazungu tangu chekechea.Uzuri wao, wanamwogopa sana Mungu. Kengele ya KANISANI ikilia saa sita mchana utaona wazee wote kilabuni wanaamka na kusali sala ya mchana ndio wanaendelea kunywa mbege.Wanapenda maparachichi hao! We acha tu!!

WA OLD MOSHI (The Mechanics)!Actually Mama Mkapa ni beauty Queen kule kwao. Yaani mimi sisemi we nenda kachague mwenyewe.Taabu, Wanaume ni wabishi! Kama mkia wa mbuzi!Wanakunywa kisusio hata cha Nguruwe!! Na Gongonyingiiiiiiiiiiiiiiiiii (Wenyewe waita Crysta-pen!)

WAMARANGU (The handsome liars)!Wanaume wote ni waongo. Actually kuna somola “jinsi ya kudanganya” shule zote za primary kule Marangu. Both wanaume na Wanawake maisha ni raha tupu.Kwa Mmarangu halisi, kwanza ananunua gari, anachapamaisha, nae kulala kwenye gari wakati kodi ya nyumbainamshinda ni jambo la kawaida.

WAROMBO: (The salesmen)!Kazi mtindo mmoja! Hawana tofauti ni kuruti wa Jeshi!Wanawake tunawaita “KUBOTA” aina ya matrekta waliyosambazwa Kilimanjaro na Wajapani miaka ya 1970. Watafutaji wa pesa!!!! We acha tu. Wahindi hawaoni ndani!Lakini ukimchezea anakuua na kukimbilia Kenya kupitia Tarakea.Ushauri wa bure! Rafiki yangu uamue mwenyewe lakini kwa ushaurimwepesi mwepesi nenda Uru (wasomi) au Rombo (wachapakazi). Chaguo ni lako.

Balali…Balali…Balali…Balali…Balali…

Filed under: habari ndio hiyo — tarishi @ 12:18 pm


Uchunguzi wa kina uliofanywa  ni kwamba Ballali aliyekuwa akitibiwa katika Hospitali ya Permian iliyopo Boston, Massachusetts, huku Serikali ikidai haijui halipo, mbali na kudaiwa kutendwa vibaya pia alipata hofu pale alipojisikia vibaya alipokula chakula wakati alipokuwa anatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma.

Chanzo chetu cha kuaminika na kisichotia shaka, kilitupasha kuwa Ballali alijua kinachoendelea kabla ya kuenguliwa katika nafasi yake na ndiyo kiini cha kuomba kwenda kutibiwa Marekani, ambako mke wake Anna Muganda ana uraia wa huko.

Mtoa habari wetu alitupasha kuwa, mwishoni mwa mwaka jana Ballali alikuwepo nchini ambako aliitwa Dodoma na kufanyiwa mahojiano ‘maalumu’.

Habari hizo zinasema kuwa Ballali alishangaa ni kwa nini aliitwa Dodoma wakati mahojiano yaliyotakiwa kufanywa yangewezekana hata Dar es Salaam.

Inadaiwa Ballali alisindikizwa na mtu mmoja ‘mzito’ katika safari yake hiyo ya kwenda Dodoma, huku kile alichokula na kunywa alipokuwa kwenye ndege hiyo maalumu ikiwa ni utata mtupu.

Chanzo chetu hicho kilizidi kutupasha mara baada ya kutoka Dodoma, Ballali alianza kulalamika kwa kutojisikia vizuri kitu alichotilia shaka kile alichotendwa katika safari yake.

Mara baada ya kurejea Marekani, Ballali alifuatwa tena na afisa mmoja wa ngazi za juu wa usalama ili kumjulia hali wakati huo akiwa amelazwa katika Hospitali ya Permian.

“Kubwa zaidi la kujiuliza ni kwamba watu wengi walipenda na walitaka kumuona Ballali akiwa katika hali mbaya na isiyo na matumaini. Tatizo linaanzia hapa,” kilisema chanzo chetu bila kufafanua.

Awali gazeti hili lilikuwa la kwanza kufichua mahali alipolazwa Ballali, huku Serikali ikiendelea kufanya juhudi za kudai haijui mahali alipo.

Uongozi wa hospitali hiyo iliyopo eneo la Andrews, Boston, Massachusetts ulipopigiwa simu na kutumiwa fax, ili kueleza kiini halisi cha ugonjwa uliokuwa unamsumbua Ballali haukutoa ushirikiano wa kutosha.

Aidha, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salva Rweyemamu, aliendelea kushikilia msimamo wa Serikali na kudai hawana mawasiliano yoyote kuhusu mahali alipo Ballali, ingawa alisema kama wangemuhitaji wangeweza kumpata kwani wana mkono mrefu.

Ilidaiwa kuwa makachero wa Tanzania walivamia Marekani kwa ajili ya kupeleleza nyendo na kujua mahali aliko Ballali, ili pale watakapomuhitaji kujua kuhusu fedha za EPA zipatazo Sh bilioni 133 isiwe shida kumpata.

Naye Balozi wa Marekani, Mark Green Januari 28, mwaka huu alitoa taarifa ya Serikali yake na kudai hawajaombwa na Tanzania kumrudisha nchini Ballali na iwapo wangehitajika wangefanya hivyo.

Green alisema wao walikuwa tayari kumsaidia Rais Jakaya Kikwete, kushughulikia ombi ambalo lingesaidia katika kutekeleza azma ya kumrudisha Ballali.

Balozi huyo pia alipobanwa kueleza mahali alikokuwa Ballali, alidai hapafahamu na kuongeza kwamba sheria za Marekani hazimruhusu kutangaza nyendo na mahali walipo watu wanaoishi nchini humo.

“Kila kitu hata kama ni fedha zilizoibwa BoT au Ballali kurejeshwa nchini kutategemea maamuzi ya Serikali ya Tanzania,” alisema Green.
Habari hizi zilifuatiwa na kuyeyuka kwa Ballali nchini Marekani na kudaiwa kukimbilia katika Kisiwa cha Malta.

Wakati anatangaza maamuzi ya Rais Kikwete kutengua uteuzi wa Ballali, Katibu Mkuu Kiongozi, Philemon Luhanjo alisema rais alifikia maamuzi hayo baada ya kukasirishwa na ripoti za kuwepo kwa ukiukwaji wa makusudi wa sheria, kanuni na taratibu za uuzaji wa madeni ya nje katika taasisi muhimu na nyeti kama BoT.

“Kwahiyo ameamua hatua za kisheria na kiutawala zichukuliwe dhidi ya watu na kampuni zilizohusika na kashfa hiyo,” alisema.

Luhanjo alisema kampuni 13 kati ya hizo 22 zilipokea zaidi ya Sh bilioni 90.3 kwa kutumia kumbukumbu, nyaraka, hati batili na za kughushi, wakati nyingine tisa zilipata zaidi ya Sh bilioni 42 bila kuonyesha nyaraka zozote za kuhakiki malipo hayo.

Alitaja kampuni mbili miongoni mwa hizo kuwa ni Rashtas (T) na G & T International Limited zililipwa fedha pamoja na kutosajiliwa na Msajili wa Makampuni (BRELA).

Kampuni zilizovuna mabilioni ya shilingi kwa mujibu wa taarifa ya Luhanjo ni Bencon International Ltd of Tanzania, VB & Associates Ltd, Bina Resorts Ltd, Venus Hotel Ltd, Njake Hotel & Tours Ltd, Maltan Mining Company na Money Planners & Consultant.

Nyingine ni Bora Hotels & Apartments Ltd, B.V. Holdings Ltd, Ndovu Soaps Ltd, Navy Cuts Tobacco Ltd, Changanyikeni Residential Complex, Kagoda Agriculture Ltd, G&T International Ltd, Excellent Services Ltd, Mibale Farm , Liquidity Service Ltd, Clayton Marketing Ltd, M/s Rastash, Malegesi Law Chambers (Advocates), Kiloloma and Brothers na Karnel Ltd .

Luhanjo alitaja kampuni ambazo ripoti ilisema yalilipwa zaidi ya Sh bilioni 90.3 kwa kutumia vielelezo vya kughushi na hati bandia ni, Bencon International Ltd of Tanzania, VB & Associates Ltd , Bina Resorts Ltd, Venus Hotel Ltd, Njake Hotel & Tours Ltd, Maltan Mining Company na Money Planners & Consultant.

Nyingine ni Bora Hotels & Apartments Ltd, B.V. Holdings Ltd, Ndovu Soaps Ltd, Navy Cuts Tobacco Ltd, Changanyikeni Residential Complex, Kagoda Agriculture Ltd.

Baada ya kashfa hiyo, Rais Kikwete aliunda timu iliyoongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, John Mwanyika ili kushughulikia suala hilo kwa kuchunguza na kuchukua hatua za kisheria dhidi ya watuhumiwa.
Ballali amekufa wakati tume iliyoundwa na Rais Kikwete kuhusu upotevu wa fedha za EPA ikiwa inaendelea na uchunguzi wake.

Mbali na hilo, Ballali anakuwa gavana wa kwanza kuenguliwa katika nafasi yake tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961.

May 24, 2008

Adam Lusekelo: Good governance in Tanzania?

Filed under: cheka unenepe — tarishi @ 8:05 pm

I spent a great morning at the Chuo Kikuu yesterday. I had accepted an invitation, not to get drunk in some wedding ceremony, but to participate in a seminar on good governance.
 
That was much more stimulating than getting pissed in some wedding ceremony. The seminar was opened by the baby-faced Minister of State in the President’s Office, Hawa Abdulrahman Ghasia.
 
She started by saying something about politics in Bongo should not be about winner take all. I wondered whether she was thinking about Zenj.
 
Hawa added that the government and the opposition should not regard each other as enemies. Instead their relationship should be complementary. In my mind’s eye  I could see Zenj again.
 
She wanted Bongo to be a meritocracy. Fine. She could say that, but what we have here is another kind of ‘cracy’. It is called ‘mshikajicracy!
 
Her ladyship insisted that there must accountability and punishment for public and private individuals  for corruption.
 
The cheeky cynic might say that accountabily and and punishment like the red-carpet punishment meted out in Monduli and ‘Bariadi Vijisenti’ constituency.
 
She revealed that 37 per cent of Africa’s money has been salted abroad by African thieves. Suddenly my mind started travelling to the beautiful off-shore island of Jersey in Britain. There is good governance for you!
 
Then came in othere presentations. the first was Prof Sam Mushi of the University of Dar. He hardly saw some ‘good governance’ in the first place.
 
Power breeds arrogance the professor lectured  us. I started wondering – was he also thinking about Zenj?
 
I remember the earth shaking speech from the Zanzibar prez: “If they want to come to drink tea with me they must first recognise me as the greatest tea-maker in the Spice Islands!”  
 
Anyway, back to the seminar on good governance. Good governance? Scoffed Prof Mushi – why should a minister travel first class?
 
Not only minister, but deputy ministers, PSs and commissioners. When the prez travels he is accompanied by a battalion of aides, assorted officials and hangers-on. That is tax-payers’ money, for heaven’s sake! You can hardly call that ‘good governance’
 
The Prof talked about the endless seminars, warshas, kongamanos and meetings. If you call that good governance I call it ‘ulaji’.
 
 He insisted that public offices should never be defiled. In Britain if you are caught with your pants down or skirt up, busy at it in the office, you are kicked out.
 
You have to go. Not in Bongo. The man is praised that he is ‘sharp’ and the woman simply dismissed as some   cheap ‘zanga’.
 
Prof. Mushi  concluded by observing that in Bongo politics is a growth industry. The Bunge sounds like it is full of  who is whom in academia. It sounds like the \university. But he said that he will stick to the University  of Dar es Salaam.
(to be continued)
mbwene2@yahoo.com

May 23, 2008

Death Announcement: Daudi Timothy Said Ballali

Filed under: habari ndio hiyo — tarishi @ 12:39 am

Daudi Timothy Said Ballali

Viewing: PrivateService: May 23, 2008 @ 10AM
Location: St. Stephen The Martyr
Daudi Timothy Said Ballali

On May 16, 2008 of Washington, D.C.
Husband of Anna Ballali

Mass of Christian Burial will be
 offered on May 23, 2008 at
 10AM at St. Stephen,
 
Washington, D.C.

 

Interment Gate of Heaven

Cemetery

 

View the guest book for Daudi Timothy Said Ballali
Sign the guest book

http://www.devolfuneralhome.com/index.asp?sid=6&formid=102&serviceid=960

May 22, 2008

THE TRUE COLOURS OF MWANAKIJIJI

Filed under: habari ndio hiyo — tarishi @ 11:56 pm

THE TRUE COLOURS OF MWANAKIJIJI (MKJJ)

MKJJ Kwa nini mada ya waitwao ‘waliofanya mzaha’ ndo iwe na umuhimu katika masahili baina yako naye? Wewe Mwanakijiji na Mwakyembe mlijuaje kuwa maafisa wa Serikali ndio wamefanya mzaha au wameongopa na isiwe wengineo waliowasilisha taarifa mapema?

HATIMAYE UZALENDO UMEKUSHINDA UMEANZA KUONYESHA RANGI ZAKO KAMILI KWA KUWAPIGA MKWARA WATUMISHI WA UMMA.

Leo nakuondolea uvivu ewe ujiitaye MKJJ maana suala la KUJITAHIDI KUWACHANGANYA NA KUDANGANYA UMMA KUWA WEWE NI MWANAHARAKATI WA HAKI NA MAENDELEO KUTOKA KAMBI YA UPINZANI WAKATI SIYO NI UNAFIKI WA HALI YA JUU. Unatakiwa kufanya kazi ambayo kwayo umeajiriwa kwa kufuata maadili ya kazi yako kama walivyo wenzako wengi na si vinginevyo.

Ndg.zangu Watanzania, mwanadamu ajiitaye Mwanakijiji Mtanzania aliyezaliwa 1953 huko Iringa (sitasema jina lake kamili) ni kiumbe mwenye majukumu, mitizamo na nia tofauti kabisa na yale anayoyaandika na kuyatangaza.
Hakuna cha mgongano wa fikra wala cha kusoma alama za nyakati yeye ndiye damu ya chaka mpikaji wa mazingaombwe kupitia taaluma yake anayoitumia kwa utaalamu unaoonekana kuwa wa hali ya juu lakini sasa anaumbuka baada ya kukutana na ama wanaolingana naye au wanaomzidi.
1.MKJJ yuko katika payroll (isiyo rasmi) ya Serikali yetu katika kazi ya usalama wa Taifa. Sio rasmi kwani ajira yake na majukumu yake hayafuati muundo wa kawaida(organogram) uliopo kitu ambacho kina utata hasa inapokuja katika uajibikaji wake na pia ulipwaji wa maslahi yake.
2. MKJJ ni mhitimu wa shahada ya kwanza (BA in Political Science)- Tanzania na pia Shahada ya uzamili (MA in Mass Communication & Media Arts)- USA. Baadaye alifaulu vizuri sana mafunzo ya upelelezi (Intensive course in Nationalism & Espionage) – Cuba chini ya Mwalimu wake gwiji aliyempenda sana kwa jina Mosses Powel . Hii inaeleza sababu ya MKJJ kupewa nafasi ya kuwa muhudumu (Usher) mmojawapo katika mazishi ya Powell 22.01.2005. Alipelekwa pia Trinidad & Tobago kwa ajili ya mafunzo ya ukakamavu na ulinzi wa kujikinga chini ya kitivo cha Powell ambaye ndiye mwanzilishi wa mashambulizi ya Sanuces Ryu Jujutsu lakini bahati mbaya MKJJ hakuwa mzuri sana katika somo hili.
MKJJ baada ya kushauriwa , alichagua kuendelea zaidi kubobea katika mbinu za kipepelezi za steganografia (steganography), Saitografia (Cytography) na Utafiti (Research) siraha zilizompa nafasi kupata mazoezi kwa njia ya vitendo katika Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Ministry of Defence).
3. Kwa sasa MNKJJ anafanya kazi ya kunusa na kuwachanganya Watanzania kwa kuandika na kuongea kwa style ya kukandia Serikali kwa sana kupitia majamvi na majukwaa mbalimbali kama vile Jamboforums.com, (
http://jamboforums.com/); Gumzo la Kijiji (www.phpbbcity.com/forum/baraza.html); KLH news (http://mwanakijiji.podomatic.com); habari Tanzania (http://www.habaritanzania.com); Blog.co.tz (http://www.blog.co.tz/profiles/Mwanakijiji/); Bongo5 (http://www.bongo5.com); Podomatic (http://www.podomatic.com/people/index/mwanakijiji); Bongo radio (http://www.bongoradio.com); Dar Young African (http://www.youngafrican.com) na magazeti mbalimbali yaliyo katika mtandao.
Hutumia majina bandia kibao kama hilo la Mwanakijiji, Mkimbizi wa Kiuchumi, Madele wa Madilu, Lydia Ngosha n.k na idadi kubwa ya hayo majamvi anamoandika ya mtandaoni ni yeye anayeyamiliki ambayo mengi yake ni ya bure tu nay eye huonekana kuwa senior member mwenye nyota lukuki !
Awapo mtatandaoni huungwa mkono mara kwa mara na wanachama wasiomtambua (kama vile akina Steve D ) na wale wanaomtambua kama vile akina Theleza Nesaa, Da- chemi na motto wa Mkulima au pia ajiitaye Katibu Tarafa na wengine wengi.
4. Kwa kutumia utaalamu wake wa sanaa na fani ya uandishi na utangazaji, MKJJ anajificha ndani ya mbinu ya kijasusi ijulikanayo kama ‘The Italian Strategy of Tension with False Flag’. Ingawa ni mwanachama CCM lakini anapokuwa mtandaoni huvaa ngozi ya mbwa mwitu na kujiita Mkuu wa Taasisi ya Kitanzania ya Demokrasia, Maendeleo na Amani (TAKIDEMA). Kazi zake ni kama ifuatavyo:-
a. Kuanzisha mada chokozi (provocative topics) zenye kuleta hisia kali akisukuma makombora kwenye Serikali ikiwa ni namna ya kuwachokoza wananchi ili mnapoanza kusema au kuandika basi yeye anachukuwa notisi zake na kuwakabidhi waliomtuma kwa ajili ya kurekebisha panapotakiwa haraka iwezekanavyo. Hadhira yake kusudiwa ni hasa Watanzania walioko nje na hususani wasomi ambao wanaweza kuleta upinzani. Wachache walimshtukia alipopinga kinamna kuruhu suala la Uraia wan chi mbili !! sababu iko wazi nayo ni “you are either with us or against us!’
Nawahurumia wale wote ambao wamekuwa wakitoa maoni yao kwake kizembe na kwa uwazi bila kinga na au kupiga simu na pengine kutoa michango eti kwa ajili ya kuimalisha Podomatic yake ambayo aliahidi siku kibao kuwa itakuwa ni live radio live na itaunganishwa na Jump Tv k.m StarTV n.k. Mbinu atumiayo hapo ni ya kukufuatilia mienendo yako ulipo popote (surveillance) na kunasa maongezi au IP yako kupitia headers kama uko kwenye mailing list au unaandikiana naye emails n.k . Hapa hutumia kitu tukiitacho ‘wire tapping’. Katika KLH news hakuna cha eti ana msaidizi aitwaye Ngosha wala fundi mitambo ni yeye mwenyewe tu na vifaa kama one way voice link vitumiavyo FM radio broadcast na komputa yenye vikolombwezo vyake . Aidha yeyote aliyepiga simu kwake alishanaswa isipokuwa kama nawe uko protected! Kumbuka huyu ni mmoja wa wataalamu wachache ambao wanaweza kusoma maandishi yako na au kusikiliza sauti yako na wakakunyambulisha kisawasawa. Najua atajaribu sana kunitafuta lakini hata na mimi nimejiandaa sana kabla ya kupasua hili jipu.
b. Pamoja na wenzake wanachunguza na kutoa mapendekezo yao juu ya utendaji wa watumishi mbalimbali wa ngazi za juu Serikalini, Mahakama na Jeshi, katika Bunge na pia ndani ya CCM. Kazi hii huifanya kwa kushirikiana na vijana wengine watano ambao wako nje na ndani ya nchi na wote ni makada damu wa CCM. Wawili ni waandishi wa habari hapa jijini Dar. Wengine wote hawana noma maana wanawajibika kama walivyotumwa kwa nia nzuri ya kuimalisha nidhamu kazini na huduma kwa wateja. MKJJ anaonekana yeye sasa kuwa kama ndiye mwamuzi na akiwa hakupendi hata kwa sababu zake binafsi atakusukia ajali. Mbaya zaidi amejisahau na kuanza kujadili pasipo aibu namna ya kujaza kila nafasi wazi za juu majukumu ambayo hakupewa. Alizizungumza sana juu ya Gavana BOT, IGP, Mkuu wa JW&JKT, Balozi Washington DC, Jaji Mkuu, Katibu Mkuu CCM, etc mpaka alipoitwa na kupewa warning ndio kesho yake akaandika katika Jambo forums eti amenyanyua mikono na amekubali sasa kujiunga na CCM. Maana yake ilikuwa anatoa mkwara kuwa hakika sasa anataka kujiunga na upinzani! Kumbuka anaishi chini ya ‘false flag’. Sasa ameanza tena juu ya Costech! Kosa jingine analolifanya ni kuwa eti yeye ni expert wa kila kitu kuanzia uchumi, siasa, sanaa, historia , elimu, utamaduni na hata fisikia ya kinyuklia? .k Ni mtu gani asiyekubali kutojua kitu Fulani au kusahihishwa hata siku moja???
c. Amekuwa anawaita pia watu mbalimbali zaidi na kuwahoji kupitia KLH News. Kwa wastani mwanzoni aliifanya kazi yake kama alivyotumwa lakini sasa amelewa umaarufu na kuanza kupitiliza! Na mfano mzuri utaona kuwa siku hizi anajisahau sana. Anakula posho yake nzuri na kustarehe na anapogundua kuwa hajaposti chochote cha maana anakurupuka na mahojiano kama haya yaliyo chini ya kiwango chake na cha taaluma yake na tena kwa viashiria vya majibu anayotegemea!! MKJJ maelezo ya watumishi yanapogongana na taarifa walizo nazo tume si tiketi ya kusema kuwa hao Watumishi wa Serikali na Mashirika ya umma walisema uongo chini ya kiapo au eti wanafanya mzaa. Kwa nini pia msifikiri kuwa waliowapa taarifa mlizonazo mwanzoni ndio waongo ? Msianze kupiga watu mikwara baada ya kugundua kuwa wamelipua bomu! Mada yake ya awali iliyomgusa Seif haikuwa imeenda shule akaitwa na kuonywa kuwa watu watamshutukia ndio maana sasa tunaona anawaita akiwa Mrema , Zito n.k . Wapinzani wa kweli walio smart wameshamnasa . Kazi ya kuongea na wapinzani ni ya kutumia akili sana maana mbinu ni kuteka agenda zao na au kuwachanganya ili washughulike na ambayo hapo baadaye watagundua kuwa hayana uzito.

May 12, 2008

PAKISTAN IS BACK IN THE COMMONWEALTH

Filed under: habari — tarishi @ 5:35 pm

Concluding Statement – 29th Meeting of the Commonwealth Ministerial Action Group (pictured today in London) on the Harare Declaration (CMAG)
1. The Commonwealth Ministerial Action Group on the Harare Declaration (CMAG) had its twenty-ninth meeting at Marlborough House in London on 12 May 2008. This was the Group’s first formal meeting following its reconstitution by Commonwealth Heads of Government in Kampala in November 2007.

The meeting was attended by Hon Akwasi Osei Adjei, Minister for Foreign Affairs of Ghana, Hon Dr. Rais Yatim, Minister of Foreign Affairs Malaysia, Hon Marco Hausiku, Minister of Foreign Affairs of Namibia, Rt Hon Winston Peters and Minister of Foreign Affairs of New Zealand, Hon Rohitha Bogollagama.

Others were Minister of Foreign Affairs of Sri Lanka, Hon Sam Kutesa, Minister of Foreign Affairs of Uganda, Lord (Mark) Malloch-Brown, UK Minister for Africa, Asia and the UN, HE Jean Kekedo, High Commissioner of Papua New Guinea to the UK, and HE Eldridge Stephens, High Commissioner of St Lucia to the UK.

2. CMAG adopted its Agenda and unanimously elected the Hon Dr. Rais Yatim, Foreign Minister of Malaysia, as its Chairman. It also elected Hon Sam Kutesa, Foreign Minister of Uganda, as Deputy Chairman.
3. CMAG reviewed developments in the countries on its Agenda, namely Pakistan and Fiji Islands.
Pakistan
4. CMAG received a report from the Chairman on his recent visit to Pakistan in April 2008. It also received a report from the Secretary-General on the Secretariat’s engagement with Pakistan and developments in that country since CMAG’s last meeting on 22 November 2007.
5. The Group welcomed the fact that President Musharraf had given up his role as Chief of Army Staff (COAS) on 28 November 2007. The separation of the offices of the Head of State and COAS in Pakistan had met a long standing requirement of Commonwealth leaders.
6. CMAG noted that the State of Emergency imposed on 3 November 2007 was lifted on 15 December 2007. The Constitution had been subsequently restored along with the fundamental rights of the people that had been suspended during the period of the Emergency.
7. The Group commended the holding of parliamentary elections in Pakistan on 18 February and the transition to a democratically elected government. It noted that while most observers of the polls had found them to be reasonably credible and the results accepted by all parties, there was need for reform. In this regard, it welcomed the new Government’s stated intention to reform the Election Commission and enhance its independence.
8. CMAG welcomed the recent removal of curbs on private media broadcasts and other restrictions on the press that had continued to be in place even after the Emergency was lifted on 15 December 2007. It also noted that political detainees and activists arrested under the Proclamation of Emergency had now been released.
9. Recalling the call made by CMAG at its last meeting with regard to restoring the independence of the judiciary as an institution, the Group welcomed the new Government’s stated resolve to do so. It urged Pakistan to respect the Commonwealth Latimer House Principles to reinforce the independence of the judiciary and resolve current issues through the parliamentary process, as soon as possible, so that it contributes to democratic political stability in Pakistan.
10. CMAG agreed that, since it last met on 22 November 2007, the Government of Pakistan had taken positive steps to fulfil its obligations in accordance with Commonwealth fundamental values and principles. It accordingly decided that Pakistan is now restored to the Councils of the Commonwealth.
11. CMAG requested the Secretary-General to continue to offer technical assistance to the Government of Pakistan, as appropriate, to support the further strengthening of democratic institutions and processes in the country. CMAG also urged other Commonwealth Members to provide similar assistance.
Fiji Islands
12. CMAG received an update from the Secretary-General on the Secretariat’s engagement with Fiji and developments in that country since it was last discussed by the Group on 29 September 2007.
13. The Group reaffirmed its strong support for the regional process led by the Pacific Islands Forum. It reiterated that it was essential that elections be held by the deadline of March 2009 as agreed between the Pacific Islands Forum and the Interim Government, if not sooner, and all parties must be allowed to participate freely.
14. CMAG expressed grave concern at slippages in election preparation. It noted the need to appoint an appropriate Supervisor of Elections immediately and called on the interim government to expedite preparations for the elections under the current constitutional arrangements. The Group urged Commonwealth members, the Pacific Islands Forum, the United Nations and the wider international community to ensure the Interim Government holds firm to the March 2009 deadline.
15. The Group continued to be concerned at reports which indicated that the independence of the judiciary and freedom of the media were being seriously compromised, including the deportation of media personnel in contravention of court orders and evidence of the continued militarisation of key Fijian institutions. It also expressed concern at reports of continued human rights abuses.
16. The Group re-affirmed the need to engage in an inclusive dialogue process with all Fijian people and parties including civil society. It expressed full support for the efforts of the Secretary-General’s representative Sir Paul Reeves to facilitate such a dialogue. It reiterated its firm belief that the constitutional future of Fiji should ultimately be determined through a representative, elected parliament.
17. The Group called for significant progress to be made in Fiji towards meeting the deadline by the time of CMAG’s next meeting in September.
19. CMAG requested the Secretary-General to remain engaged, to deploy his good offices as appropriate and continue to offer relevant technical assistance.
20. The Group decided to retain Fiji on its Agenda.
Next meeting
21. CMAG agreed that it would next meet in New York on 27 September 2008.

May 9, 2008

Madudu ya nchi yetu Tanzania

Filed under: habari ndio hiyo — tarishi @ 7:56 pm

and the story goes on tutafika kweli
Huyu muiran anataka kutwambia nini:
Check haya madudu yanayofanyika.

(1). Tanzania ni nchi yenye rasimali na utajiri wa hali ya juu Afrrica na ulimwenguni, lakini ni masikini ya kutupwa kwa kiwango cha nafasi ya tatu kwa umasikini duniani kwani nyie viongozi wa ngazi za juu mnalea n a kukumbatia ufisadi na mafisadi mufilisi ambayo nitayataja leo kwa ufisadi wake
(2). Utajiri wa rasilimali zinazoporwa na mafisadi ulionao zingeweza kufanya mambo makubwa na mazuri yafuatayo:
(i) Kusomesha Watanzania wote bure kuanzia Chekechea hadi kiwango cha PhD
(ii) Kuwalipa posho Watanzania wasio na ajira kila mwezi kama yanavyofanya mataifa yenye utajiri kama wetu
(iii) Kuwa na kilimo na mifugo bora na endelevu yenye kuingiza zaidi ya 60% ya pato la taifa kuliko sasa ambapo sekta hiyo inachangia 12% tu ya pato la taifa kutokana na kuhujumiwa na mafisadi wafanyabiashara kwa manufaa binafisi kma Wasira na Diallo
(iv) Kuwa na matibabu bure kwa kila mtanznia kwani kodi wanazotozwa wafanyakazi, wafanyabiashara na wakulima ni kubwa mno. Pia zaidi ya 90% ya pato la taifa inaporwa na mafisadi uliowaweka katika ngazi ya uwaziri, makatibu wakuu na kurugenzi mbalimbali kote nchini zikiwamo halimashauri
(v)Kuwa na viwanda vikubwa, vya kisasa vyenye kuingizia taifa zaidi ya 46% ya pato la taifa. Lakini cha kushangaza serikali imefunga ndoa na kunguruwaporaji wa uchumi wa kihindi na Kiarabu kama Jeetu P, Chavda na R. Aziz
(vi) Tanzania ingekuwa ni kisiwa cha uzuri na mandhari murua ya maendeleo ya kuja kujifunizia matifa mbalimbali ulimwenguni lakini cha ajabu ndiyo imekuwa jalala la kila nyanja ya umasikini
(vii) Ndugu Kikwete, pamoja na kwamba Mafisadi lowassa, karamagi na msabaha wameshaachia ngazi, bado kuna mafisadi wengine uliowakumbatia na kuwaweka karibu na wewe huku wakiifilisi nchi kama mafisi ya kienyeji ni hawa wafuatao
:
Zakhia Meghji:- (A) aligawa holela vitalu vya uwindaji akaipotezea Tanzania Tsh 3,304, 903,050/- akiwa waziri wa Mali Asili na Utalii.Ovyo zaidi hata wanafamilia wake walijiingiza katika ufisadi huo kwa kumiliki baadhi ya vitalu kibadhilifu (B) Alipotosha ripoti ya mkaguzi wa BOT mwaka 2005/2006 (C) Kuchonga bajeti angamizi ya mwaka 2007/2008 (D) Kuidhinisha matumizi mabovu zaidi ya millioni 143 kwa mawaziri mafisadi kwenda kuifagilia bajeti ya kihuni ya 2007/2008 mikoani. Mafisadi hao hawakusita kukomba millioni 143 Tsh kwenda kuzomewa mikoani. (E) Kufumbia macho shughuli fisadi na za kitaprli za BOT ambayo iliipatia Tangold ltd Kampuni feki kiasi zaidi ya Sh 37.7 billioni ambayo haikuwa na usajiri wowote, akidanganya kuwa ni matumizi nyeti ya serikali kumbe ni ulaji wake na vigogo wenzake (F) Kubarikli uporaji wa fedha BOT tsh 18,465,755,495.39/- zilizopelekwa kwenye makampuni mbalimbali feki kuanzia decemba 2005 hadi 2007.

Benjamini Mkapa: (A) Kufanya biashara akiwa ikulu ambacho ni kinyume kabisa na katiba ya nchi yetu (B) Kuanzisha makampuni mufilisi akiwa ikulu ambayo yamelipora taifa zaidi ya Tsh 908,798,045,050/- akiwa ikulu hadi leo kwa makampuni ya kihuni kama ANBEN ltd, Fosnik ltd na Tanpower (C) Wizi wa zaidi ya Tsh Trillioni 8,86 BOT kwenye kampeini za uraisi na ubunge zilizotuwekea rais mufilisi. Mkapa anatakiwa asimame kuelekea kizimbani na kujibu wizi huo ulioifilisi nchi ikawa kama dampo la umasikini (D) Uporaji fedha za taia hili kupitia ununuzi wa rada feki Tsh 50 billioni ambayo aliishupalia kama ruba (E) Uuzwaji angamizi wa mashirika ya umma na viwanda kwa hila zote, kwani hata yale yaliyokuwa yakijiendesha kwa faida kubwa yaliuzwa kwa bei ya tupatupa (throw away prices) (F) Kushiriki mikataba mibovu ya madini alilipotezea taifa zaidi ya Tsh 959,588,789,005/- kwa kipindi chote Hivyo huyu ni fisadi lililokubuhu.

Edward Lowassa (A) Anahusika moja kwa moja na ufisadi kupitia kampuni haramu ya RICHMOND na shoga wake DOWANS ambao wamelipora taifa zaidi y ash billioni 273/- kwa umeme hewa (B) Upotevu wa sh millioni 12.5 /- kupitia kampuni feki ya Water City ambayo aliibariki licha ya kuambiwa kuwa ilikuwa haifai, lakini E.L. aliing’ang’ania kama alimasi (C) Kuliingiza taif kwenye mkataba mufilisi ,fisadi na angamizi wa Buzwagi . E.L. alikuwa pamoja na fisadi kuu Karamagi kusaini mkataba angamizi na filisi hotelini uingereza. Hivyo analipotezea taifa zaidi ya billioni 3,895/- kila mwaka kwa muda wa miaka 25 kama ulivyo mkataba (D) Kujiingiza kwenye uporaji kwa kutumia ujenzi wa mahekalu ya hoteli ambayo hayalingani na kipato chake, akibisha data hallisi tutazianika hadharani.
David Ballali (A) Amelipotezea taifa kifisadi zaidi ya sh 693,795,398,805.39/- kupitia BOT kwa malipo hewa kwa makampuni hewa ya kitapeli ya EPA, Jeetu P.ltd, Alex Stewart, Tangold ltd, Mwananchi gold co.ltd, Green F. Co.ltd na mengine mengi, (B)Kulipotezea taifa matrillioni ya fedha kwa kukwamisha ukaguzi halisi wa BOT (C) Trillioni 5.3 alizochota kwa ajiri ya kampeini haramu za urais za mwaka 2005 zilizozaa rais mlea mafisadi – The breeder of corrupt leaders at all level
Dasil Pesambili Mramba (A)Alibarikina kuhusika na uporaji wa sh 17,697,556,594.85/- kutoka BOT akiwa waziri wa fedha kwenda kwa makampuni mbalimbali feki na watu binafsi hasa magabacholi wa kihindi na kiarabu (B) ununuzi wa ndegefeki ya rais, rada feki ya rais. Alitangaza Watanzania hata wakila majani ndege feki ya rais lazima ingenunuliwa. Je, mr.. Mrmba, uliona Watanzania ni mbuzi hata wale majani? (C) Uuzaji feki wa Air Tanzania kwa makaburu. Asingeiingilia kikwete Hapa Mrambaji angetajirika ukomo. (D) Ubinafisaji holela na kwa kiburi na uhujumu wa rasilimali za tiafa kwa masilahi yake akiwa waziri wa fedha , walishirikiana na fisadi ambaye ni rafiki wake wa damu -Abdallah Kigoda

Andrew Chenge (A) Kalipotezea taifa zaidi ya sh 17,857,616,400/- zilizoporwa na Tangold ltd kutoka BOT . Chenge hili hawezi kukwepa kwani alikuwa mkurugenzi wa Tangold ltd at the same time akiwa mkurugenzi wa BOT (B) Kulipotezea taifa mabillioni ya fedha kwa kuridhia mikataba mibovu/feki/angamizi ya madini akiwa mwanasheria mkuu wa serikali. Takribani zilipotea zaidi y ash 2,890,687,084,573/- kwa kipindi chake chote. Kama anabisha tutazitoa kwa unyambulisho wake.(C) Zaidi ya billioni 800 zianpotea kwa mwaka kwa mikataba mibovu ya ujenzi wa barabara ama kwa kuweka makampuni feki ambayo huishia kuchota fedha na kutoroaka nchini na vitita vya fedha. Ana kurugenzi wezi wizarani kwake lakini amefumbia macho kwa manufaa yake binafisi. Chenge unasubiri nini kung’atuka?
Gray Mgonja (A) Alibariki na kuhisika na uporaji wa sh 17,857,616,400/- BOT kwenda kampuni yao ya tangold ltd akiwa mkurugenzi wa BOT pia hapo hapo akiwa mkurugenzi wa Tangold ltd kampuni ambyo hikuwa na usajili. (B) Kunyamazia ufisadi wa uporaji wa trillioni za fedha BOT kenda kwenye makampuni hewa akiwa mkurugenzi BOT

Peter Msolla (A) Uporaji wa sh millioni 5000 zilizokuwa zimetolewa na EUROPEAN OVERSEAS ANGENTS miaka ya 90 akiwa makamu mkuu wa SUA. Fedha hiyo ilikuwa imetolewa kukiendeleza chuo(SUA) kitaaluma, miundo mbinu kama barabara za ndani , tafiti mbalimbali na kuwa dila ya maendeleo ya kanda ya mashariki mwa Tanzania (Morogoro, Pwani, Tanga, Dar-es salaam). Cha ajabu fedha hiyo iliishia kwenye midomo ya mamba mafisadi (Prof Msolla, Prof Ishengoma, Mr A.. Magoma (mhasibu wa kufoji ), keshia Prof Mgongo na maswahiba wao.. Planner mkuu wa wizi huo alikuwa Magoma wakisaidiana na Msolla. Wakaamua kununua magari ya kifahali na kujenga majumba ya kifahali yakiwapo magesti house kwa siri.(B)Uporaji wa fedha za DANIDA millioni 490 zilizokuwa zimetolewza kwa ajili ya mradi wa OTAITISI (OTITIS) .Fedha hiyo iligawanwa hapo vet –SUA na kunguru mafisadi wachache. Msolaa akachukua 80% ya fedha hiyo na kujenga majumba makubwa ya kifahali . Ng’ombe wa Mradi huo wakaishia kulala kwenye matope yafikapo kwenye kimo cha tumbo lao wakiwa wamesimama.. Wafadhili walikasirika kupita upeo, wakajitoa. Ukweli huu hauhitaji hata kupeleleza pale VET-SUA. (C) Hujuma ya fedha ya punguzo la wafanyakazi SUA Tsh 2,245,045,000/- ilyotolewa na benki ya dunia 30/6/1996. Ilipangwa kwamba mtu mwenye mshahara mdogo kabisa apewe Tsh millioni 8. Jambo la kushangaza ni kwamba kila mtu aliyepunguzwa kazi alipewa asilimia kumi tu (10%) ya malipo yake. Hivyo mwenye mshahara mdogo alipewa sh 300,000/- tu. Aliyekuwa anatakiwa kulipwa millioni 20/- alipewa millioni tatu tu. Yeye Msolla na mafisadi wenzie (A.Magoma, Prof Luoga akiwa VC-SUA, Prof Mgongo, keshia na maswahiba wao waligawana 90% ya fedha yote iliyotolewa na benki ya dunia… Mafisadi hawa wakawa wanaishi kama wapo peponi. Wakanunua magari ya kifahali na kujenga majumba ya KUFURU yakiwamo magesti house bubu (kwa siri) na kununua mashamba kila kona Mkoani Morogoro. (D) Wizi wa millioni 442/0 SUA kuamkia tarehe 22/4/2006.Yaani, Kati ya shs 442, shs millioni 400/- zilikuwa peti keshi zilizokusanywa kwa miaka miwili . Hivyo Msolla, Keshia, Prof Luoga na Magoma waliziiba zile millioni 400/- mchana kweupe tarehe 21/4/2006 kutoka kwenye sefu, baadaye wakaingiza sh millioni 42/- za malipo ya wafanya kazi SUA, ndipo kesho yake tarehe 22/4/2006 wakatangaza kuwa sh millioni 42/- za malipo ya wafanyakazi SUA zaibiwa Kwa uhakika zilizohamishwa kiporaji zilikuwa sh millioni 442(millioni 42 zikiwa malipo ya wafanyakazi SUA na millioni 400 zikiwa peti keshi ) . Sababu ya uporaji huo wa kifisadi ni: (i) kujiandaa kwa kustaafu kwa prof. Luoga, Mr Magoma na Msolla (ii) Kutokuwa na imani na kikwete kwani SUA walitegemea Sumayi ndiye angekuwa rais ambaye ni fisadi mwenzao. Hata hivyo hawakujua kuwa hata Kikwete ni mama na mlezi wa mafisadi (iii) Kupata fedha lukuku za kufanyia kampeini za ubunge kwa Msolla na hatimaye uwaziri. Hivyo kesi hiyo aliisimamia Prof Monera kwa ahadi kwamba kama angefanikiwa kuivunja kesi hiyo angekuwa VC. Monera alifanikiwa kuizima kesi hiyo, Prof Luoga na Msolla wakampendekeza kwa rais awe VC ili siri hii isifichuke. Kikwete akaingia kwa jeuri yake kichwakichwa akaweka fisadi pandikizi kuwa VC- la SUA ambalo linakomba fedha ya SUA nay a wafadhili likishirikiana na Mufilisi mwenzie Prof Msolla kiasi kwamba, fedha ya wafadhili inayopitia Wizarani (Sayansi na Elimu ya juu) kwenda SUA igawanwe na kukombwa vizuri.

Joseph Mungai :(A) Aliingizasilabasi feki kuanzia chekechea hadi elimu ya sekondari kwa Watanzania wa kawaida huku watoto wao wanasoma nje ya nchi.Watoto hapa nchini hawakujua walichokuwa wanasoma, si jogg ama mchemsho. Akaua elimu kupindukia. Alifanya hivyo ili fedha nyingi zibaki wizarani ili azitumie na mafisadi wenzie kwa masilahi binafsi. Zaidi ya billioni 300 zilikuwa zinaliwa wizarani kwa ufisadi huu. (B) Alikula takribani sh millioni 8/- za bima na rikizo za waalimu na mapunjo mbalimbali ya waalimu yakiwamo ya mishahara ya walimu wa shule za msingi na sekondari.Waalimu wakapiga kelele kudai haki zao wakaonekana kutimiza usemi kwamba KELELE ZA MLANGO HAZIMKOSESHI USINGIZI MWENYE NYUMBA. (C) Kupora fedha inayobaki wizarani mwisho mwa mwaka. Kapuya alichagua baadhi ya maofisa wa elimu wa mikoa/wilaya na maedimasta wa shule za sekondari ambako alikuwa akituma fedha mwishoni mwa mwaka (mwezi wa 5) na baadaye kutuma wahasibu mafisadi kuifuata fedha hiyo. Alikuwa akipora kati y ash billioni 3-4 kwa mtindo huo kila mwaka alitafuna na maswahiba wake

Juma Ngasongwa (A) Kalipotezea taifa zaidi y ash Billioni 9,845/- kwa kipindi akiwa waziri wa Mali Asili na Utarii kwa kupewa pipi kidogo na kuachia uwindaji haramu na angamizi kwa rasilimali na uchumi wan chi. Ufisadi huu ulimfanya afukuzwe uwaziri wakati wa MZEE RUKSA kwani mzee ruksa alikuwa makini. Hakuwa kama kikwete ambaye amefunga ndoa na mafisadi kama Kapuya, Ngasongwa, Meghji, Ballali, Msolla, Diallo,Benno Ndullu nk. (B) Kuchochea vurugu SUA… Yeye alipoona kuwa wanafunzi wa SUA wamemkataa kwa kuwa alikuwa haeleweki anachofundisha , si DS ama DESKI CHAFU, alianza vurugu zilizomfanya afukuzwe kazi SUA katika miaka ya 90. akakimbilia siasa. Vilevile mzee ruksa akamfukuza kazi Mali asili na utalii katika miaka ya 90. ***** Mkapa akamrudisha kuhujumu, pia Kikwete akameza matapishi hayo hayo.

Stephanop Wasira (A) Mamillioni ya fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya kupunguza makali ya mbolea ameyakomba.. Yaani, fedha ya sabusidi ya mbolea zaidi y ash billioni 12,5 ameifagia na kufanya bei ya mbolea kuanza kupaa juu kama kunguru kila kukicha katika mikoa ya nyanda za juu kusini –The big four (Mbeya, Iringa, Ruvuma na Rukwa).Kilimo katika mikoa hiyo hutegemea mbolea asilimia mia moja(100%). Sasa mbolea haishikiki kwa wakulima wengi (90%) kwani ni kati y ash 40000/-sh 55000/- kwenye mfuko wa kilo 50. Kwa eka moja inahitajika mifuko 4-5 kutegemea na hali ya udongo husika. Mbaya zaidi , si kikwete wala wasira anayetembelea mikoa ya Mbeya, Iringa ama Rukwa tangu wawahadae wananchi kuwaletea maisha mazuri. Huu ni utapeli wa unaotakiwa ulaaniwe na kila mpenda haki.Kila leo utamwona Kikwete akitembelea KWA WASUKUMA (MWANZA NA SHINYANGA), BUKOBA NA MUSOMA, PWANI NA MOROGORO MAANA AMEYAONA MAJITU HAYO ZUMBUKUKU.

Nazir Karamagi (A) Kufanya ufisadi wa kusaini mikataba angamizi ya madini kama ya Buzwagi nje ya nchi hotelini!!!!!!!!!!!! Uliolikosesha taifa sh 9,239,389,394.25/- kwa kipindi chote(B)Kuligharimu taifa zaidi ya billioni 173 kutokana na uroho wa kujitumbukiza kwenye sakata la kampuni tapeli ya RICHMOND na binti ya DOWANS (C) Kunyamazia kupanda kwa umeme kwa malipa kodi maskini ili kufidia gharama angamizi za TANESCO zinazotokana na mafisadi vigogo kutolipa gharama za umeme.

Ibrahim Msabaha (A) Kulipotezea taif zaidi y ash billioni 174 kutokana na kufunga ndoa na kampuni mufilisi , feki na tapeli ya RICHMOND . Anatakiwa akamatwe atiwe ndani na alipe deni hilo .

Benno Ndullu (A) Kabariki ufisadi na uharamia wa sh 693,795,398,800/- zilizohamishwa kijambazi na kaka zake (Ballali, Mramba, Zaakhi M) akiwa naibu gavana wa BOT. Hili halikwepi. Tunajua amewekwa pale na kikwete ili kuficha ushahidi wa mafisadi wenzie wakiwemo watoto wa vigogo. Hapa tayari anaingia kwenye kundi la mafisadi. (B) Kutomshauri kikwete avunje bodi inayoshughulikia kutafuta kiini cha ufisadi BOT,kwani bodi hiyo imejaa mafisadi kama G. Mgonja, Zakhia Meghji nk Hivyo hakuna chochote kitakachofanyika zaidi ya kwenda kuficha ushahidi.

Edward Hosea (A): Amekomba zaidi ya billioni 65 kwa kupokea rushwa nene na kutoa taarifa feki kwenye uchunguzi wa RICHMOND , sakata la Buzwagi, mikataba mibovu ya madini, sakata na hujuma za wahindi kupanga kwenye nyumba nzuri za National Housing kuliko wazawa, Sakata la DOWANS na hujuma nyingine nyingi… Ni fisadi anayetakiwa ajiyzuru mara moja.

USHAURI KWA WAPINZANI
(1) Shinikizeni kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi itakayochaguliwa na wabunge mseto. Yaani wabunge 2 CCM, 2 CHADEMA, 2 CUF, I TLP, I UDP na isiwajibike kwa kingunge yoyote bali kwa masilahi ya kitaifa. Msipofanya hivyo, mtakuwa wasindikizaji watindikiwa katika uchaguzi wa mwaka 2010. Hata tahahir huwa hashiki moto.
(2) Tembeleeni vijijini mkawaelimishe watu wanaodanganywa na CCM kila kukicha, kwani huko ndiko kuna zaidi ya 85% ya wapiga kura nchini..Wanaishi maisha magumu kama wako mahabusu ya uhaini ndani ya nchi yao lakini hakuna wa kuwaelimisha Kikwete ndio amewasusa watu wa Mbeya, Iringa, Rukwa na Ruvuma huku akiita mikoa hiyo THE BIG FOUR na kunadi kuwa kilimo ni uti wa mgongo na kuwasuta akisema kuwa mbolea ya ruzuku haipo , wasibweteke, watainunua tu hata kama bei yake inapaa kama tai kila kukicha.. Kwa akili finyu ya watanzania, mwaka 2010 atajipitisha kwao na kuwafanya wasahau kuwa aliwahi kudondoka chini akiwahadaa maisha bora katika kura za mwaka 2005. Hivyo wapinzani tembeleeni vijijini maana mjini watu wanawaelewa.
(3) Piteni mkiwaambia watanzania kuwa MAFIGA MATATU YA KIKWETE ni kurudisha utawala wa chama kimoja wenye kubariki kila ufisadi na mafisadi wa uchumi wetu na rasilimali za taifa. Utawala wa kidikiteta na mufilisi bila kuhojiwa na mtu yeyote kwani bunge linakuwa na mafisadi wanaotetea mafisadi , ufisadi na hujuma ya kila aina kwa Watanzania ili mradi tu yapore utajiri wa taifa hili.

USHAURI KWA JK
(1) Wale wote wanaohusika na ufisadi usiwarudishe madarakani(uwaziri ama ukatibu mkuu ama ukurugenzi, kwa mfano (A)WIZARA YA MIFUGO IMEOZA TANGU WAZIRI WAKE,MAKATIBU WAKUU NA KURUGENZI ZAKE NDIYO MAANA HAIPAFOMU CHOCHOTE. FEDHA ZAIDI YA MILLIONI 600 ZIMEKUWA ZIKITUMWA KWENYE RANCHI ZA KUZALISHA MITAMBA NA KWENDA KUCHUKULIWA BILA KUFANYA KAZI ILIYOKUSUDIWA (B) WIZARA YA KILIMO OVYO M KWANI MBOLEA ZIMEPANDA NA ZINAPANDA KILA KUKICHA, WASIRA AMEKOMBA FUNGU LA MBOLEA ZA RUZUKU TAKRIBANI BILLIONI 12.5… DATA TUNAZO.
(2) ACHANA NA KUCHAGUA WATU KWA KUFUATA URAFIKI, UKOO, NAFIKIRI UMEYAONA MWENYEWE

Salim, Mwapachu to launch two publications on EAC

Filed under: habari — tarishi @ 7:39 pm

Dar es Salaam, 9 May 2008:

The Society for International Development (SID) hosts the Tanzania Launch of two publications “What do we want? What might we become? – Imagining the Future of East Africa” and the East Africa Scenarios Research Compendium at a ceremony to be presided over by Dr Salim Ahmed Salim, African Union Special Envoy to Darfur and Ambassador Juma Mwapachu, Secretary-General of the East African Community at the New Africa Hotel at 1430 hrs on 14th May 2008.

Ghosts own Tangold – Adam Lusekelo

Filed under: habari ndio hiyo — tarishi @ 7:31 pm
Hahahahaaaaa!
Both finance ministry permanent secretary, Gray Mgonja and BoT governor, Prof Benno Ndulu, say they don’t know who owns Tangold – the predecessor of the defunct Meremeta Gold Company.
 
There must be a big lie somewhere. This is not to say that we are not used to lies by officialdom. This has become a nasty habit to take us for a ride.
Gray Mgonja has admitted that he acted as signatory to the firm’s bank account on behalf of the government but he doesn’t know who calls the shots.
Just what business has the government have in doing business? I thought stopped that a long time ago.
 
He suggested that the press should contact the BOT. “They are the ones who know exactly who owns this company.” He said.
 
When contacted BoT governor Prof  Ndulu jumped a mile: “Tangold is not part of BoT projects and please don’t associate the central bank with that company.” He said..
 
A presidential committee tasked with reviewing mining contracts has failed to establish who are the real owners of Tangold as well as the defunct Meremeta. The big lie is still alive. Uhuni!
 
“Maybe there is something fishy that I don’t know about the company. But as far as I  am concerned, it is owned by a hundred per cent by the government.  Gray Mgonja insisted.
 
Which leaves the rest of us to use our God-given imagination. The company, which has $13,5 million stashed away in some off-shore account somewhere, is actually owned by ghosts.
 
The ghosts registered the company in Mauritius. God knows why.
Those ghosts plan to lie very doggo until the next election times.
Then they plans to take the $13.5 million, launder it, and use it for the election campaigns come year 2010.
This money belongs to the people of the United Republic of Tanzania, remember.
 
Sources in the ghost circles say the monies in Tangoed were stolen from the central bank under the tutelage of the mighty Daudi Ballali, who now lives in planet Mars.
 
The government says it can get Balali anytime it wants him back.
It has  already talked to the Russian government to provide Soyuz-2 rockets to go and get him at short notice.
 
But they don’t want Balali now, yet.
Because they fear  him coming to Bongo and sing like a canary on what really happened in the wanton stealing of monies belonging to Tanzanians.
 
The ghosts, who support a certain political party which has been ruling Tanzania since Adam and Eve, are now thinking of stealing billions more, not for real development, but to make sure that it wins in 2015, kwa kishindo.
Meanwhile the big lie continues!
Next Page »

Blog at WordPress.com.