Tarishi Hauwawi

November 25, 2008

Filed under: habaripicha — tarishi @ 6:21 pm
Advertisements

June 6, 2008

Wajumbe katika mkutano wa sullivan

Filed under: habaripicha — tarishi @ 6:21 pm

Sehemu ya wajumbe katika mkutano wa nane wa Leon H. Sullivan wakisikiliza kwa makini hotuba mbalimbali pamoja na mada

May 9, 2008

Meya wa Jiji la Dar es salaam amelala?

Filed under: habaripicha — tarishi @ 7:18 pm

Ikinyesha kidogo tu, mji mzima ni mafuriko na foleniza magari ndio usiseme

Inyeshapo mvua kidogo tu, jiji la Dar es salaam husimama. mafuriko kila mahali na foleni za magari ni za maudhi, kwani huwa haziendi.

Wakazi wengi wa jiji hili wamemtuoia lawama Meya wake Alhaj Adam kimbisa ambaye wamesema amelala, kwani miundombinu ya bandari ya salama inatia aibu. Barabara wakati huu wa mvua zinachimbika na kama kawaida hakuna linalofanyika zaidi ya Meya na madiwani wake kula posho za bure za vikao.

Na kama hali ya katikati ya jiji, wamehoji wakazi hao, je huko uswekeni kukoje? Meya anangoja nini kuitisha kikao cha dharura na kuangalia namba ya kurekebisha matatizo haya, ikizingatiwa hili jiji lina pesa nyingi kuliko miji yote kutokana na kodi.

Meya Kimbisa amka baba!

 

 

May 8, 2008

Wazee wa jumuiya ya Afrika Mashariki wadai chao Ikulu

Filed under: habaripicha — tarishi @ 10:23 pm

Wazee waliokuwa watumishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika, wakiwa ndani ya uzio wa Ikulu jijini Dar es Salaam, ambapo walifanikiwa kuingia kwa lengo la kuonana na rais kushinikiza kulipwa kwa mafao yao jana. Hata hivyo, Rais Jakaya Kikwete, yuko Arusha kuhudhuria Mkutano wa Umoja wa Afrika (AU).

AICC yajiandaa vyema kwa mkutano wa Sullivan

Filed under: habaripicha — tarishi @ 10:15 pm

Ukumbi mpya na wa kisaasa wa Simba uliopo katika jengo la Ukumbi wa Mikutano la Kimataifa Arusha AICC ukionekana katika sura mpya baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa. Ukumbi huo wenye uwezo wa kuchukua watu 1500 unatarajiwa kutumika wakati wa mkutano Sullivan, Juni 2-6 mwaka huu

Mama Regina Lowassa

Filed under: habaripicha — tarishi @ 9:49 pm

Hi!
 
I am Mrs Lowasa, wife of the Tanzania ex-prime minister. I know you know where I got your mail address, don’t you?.
 
As you know my husband was implicated for the crime he did not commit, but that is how politics is! The actual fact is that he is a threat to many because he is a presidential material, AND many politicials know that if  ED is to be a president, they are finished! This is because he is against Ufisadi 100%. I can compare him to the late Sokoine to whom he shares the first name and also came from Monduli.
 
Lets leave politics aside. Our family have make a lot of money through legal channels and contacts throughout the period Ed was minister and PM. We have invested wisely and some of our investiments are known to Tanzanians. We also have some money in different accounts in Tanzania and few millions $ outside Tanzania. The problem is anything we do now is related to Ufisadi. We are not free to invest, give contributions to charities or even to do a simple shopping. The ufisadi thing is following us!!
 
Now my friend here comes the reason I contacted you. With your permission, I want to appoint you as a manager of our investiments either in Tanzania or abroad, not both. You will invest our monies in the manner directed by us BUT under your name. In return, you will be getting betwen 5 to 10 percent of the profit from the investiments plus fixed salary and other benefits.
 
I request you to treat this mail with confidentiality. Do not share this info with anyone. NEVER trust anyone!!! You may contact me through the phone +255 754 27 51 51
 
You dont have to leave what you are doing now, this will be a part time thing.
 
I am waiting for your call!!
 
 
Best regards
 
R Lowasa

Dual rule in Russia?

Filed under: habaripicha — tarishi @ 9:37 pm

Russia’s President Dmitry Medvedev (R) and former president Vladimir Putin (L) stand after the ceremony of inauguration in Moscow’s Kremlin throne room May 7, 2008. Medvedev was sworn in as Russian president on Wednesday and just over two hours later nominated his predecessor Putin as prime minister, ushering in an unprecedented period of dual rule.

May 7, 2008

Laana ama mkosi kwa Tanzania?

Filed under: habari,habaripicha — tarishi @ 3:04 pm

Boy \'cannibal\' with mom off to the gallows

Kijana Rama na Mama yake wakipelekwa mahabusu majuzi baada ya kusomewa shtaka la mauaji mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es salaam. Watu wengi ndani na nje ya nchi wanajiuliza matukio haya ni ishara ya mkosi ama laana kwa Tanzania?

——————————————————————————–

MAN CAUGHT WITH HUMAN SKULL IN ARUSHA

ARUSHA – APRIL 7, 2008

 

 

POLICE in Arusha region are holding one resident from
Mashoe village in Korogwe district, Tanga region, Juma
Bakari (49) alias Kimbunga for allegedly keeping a
human skull.

Arusha Regional Police Commander (RPC) Mr Basilio
Matei told reporters here yesterday that Kimbunga who
claim to be a traditional healer was arrested at
Engutoto area in Arusha municipality.

He was arrested on Monday evening with the cranium in
his bag near a retail shop owned by a resident of
Engutoto, Jeremia John, Mr Matei said.

The RPC said Kimbunga was spotted holding the human
head by people who were passing around, who later
informed the police of the unusual incident.

Mr Matei said that the ‘self claimed’ healer has said
that he was born in Korogwe, and he only moved to
Arusha in December 2007 to conduct sorcery

Mr Matei said that a survey conducted by the police
has indicated that Kimbunga is not among the listed
traditional healers in Arusha and the police are
conducting further investigations in conjunction with
traditional healers’ association.

Speaking to journalists yesterday, Kimbunga said that
he once saw an animal, known in Swahili as Karunguyeye
near Jeremiah’s shop, and when he caught and
slaughtered it he found the human skull and two birds
in its stomach.

Apart from the head, Kimbunga was also arrested with
various traditional things he uses in his work,
including pots.

Mr Matei said Kimbunga will remain in police custody
until a scientific study on the skull is carried out.

Source: Daily News

Blog at WordPress.com.